huenda kakosea kuandika Hiace 6m,au ni bodiHiace 6m!!!!ni ya mwaka gani ???manual au auto..petrol au disel ???
Gari haina tatizo lolote; ni tairi ambazo zitahitajika kubadilishwa ndani ya muda mfupi. Mwenye gari anaiuza kwa kuwa haihitaji tena kutokana na kwamba hatakuwepo nchini kwa muda mrefu ujao. Kwa wahitaji walio jirani wanaweza kwenda kuikagua.Mbovu ama?Iko katika hali gani?
Bei ndio hiyo; ni ya Diesel, automatic gear box kama ilivoainishwa kwenye tangazo. Si kila mtu anataka faida katika kila kitu; muuzaji hafanyi biashara kwa kutaka apate faida, anaiuza kwa kuwa haihitaji tena na hategemei kuituma tena kutokana na shuhuri zake. So kama kuna anaetaka kumpokea, karibu ukaikague ukiridhika utafika biashara.huenda kakosea kuandika Hiace 6m,au ni bodi