chumba kinauzwa na vyote vilivyomo mbeya

ndinasyo

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
67
Reaction score
16
salaam ndugu wana jf,chumba kinauzwa na vitu vilivyomo ndani,km kitanda(5*6)godoro,meza,tv,radio feni,vyombo vya kupikia na vngine vingi,kipo mama joni atakayehitaji ani pm.ahsanteni
 
Kipo umbali gani toka barabarani? gari linafika hapo? weka bei
 
salaam ndugu wana jf,chumba kinauzwa na vitu vilivyomo ndani,km kitanda(5*6)godoro,meza,tv,radio feni,vyombo vya kupikia na vngine vingi,kipo mama joni atakayehitaji ani pm.ahsanteni

Hiyo mama joni iko Sinza, Urambo, Longido, Tandahimba au Nkasi..!?? au ndo ike ya Mbagala mwisho.!??
 
vitu vyote ulivyotaja bei laki 6 tu? inawezekana unataka kuwaingiza wenzio mjini

Unajuaje labda kitanda 3 x 6 Tz 40,000 godoro la 35,000 jiko la mchina na TV mgongo halafu nchi 14 125,000,
So ni bora angethaminisha vitu vilivyomo ndani na hadhi ya chumba chenyewe kama kuna vitu kama umeme, maji nk
 
Kazi kwako njoo ujionee nahtaji kuhama siwezi kusafirisha na pia siwez kuuza kitu kimojakmoja.
 
Unajuaje labda kitanda 3 x 6 Tz 40,000 godoro la 35,000 jiko la mchina na TV mgongo halafu nchi 14 125,000,
So ni bora angethaminisha vitu vilivyomo ndani na hadhi ya chumba chenyewe kama kuna vitu kama umeme, maji nk

Maji umeme vipo na mm si dalali unayehitaji njoo uone.
 
Kaka samahani ila nimechanganyikiwa na maelezo yako,hicho chumba ni cha kupanga au?kama cha kupanga je kodi inaisha mwezi gan?
Kama ni chumba ambacho kimejengwa ili kulinda eneo then lina ukubwa gani?
Ntashukuru ukijibu
 
Back
Top Bottom