Habari ndg wana JF.
Tunapenda kukujulisha kuwa sasa hauna haja tena ya kuwa na wasiwasi na Hofu ya jinsi ya kuandaa na kufanya hatusi au tukio lako lolote linaloitaji kuwajumuisha watu zaidi ya...
kwa wale wakazi wa Tabora mjini. Kuna duka la vipuri/spare za pikipiki za bei nafuu kuliko kawaida. Hili duka linauza kwa rejareja. Linaitwa yarabi salama autospares. Lipo mtaa wa mahakama ya...
nna simu S 5300 nauza.... bei 140000. ni nzima na ina miezi minne tu toka inunuliwe.
SABABU ZA KUUZA; nimenunua simu nyingine ya window.... if upo interested 0757760837
Wadau ninatafuta toyota altezza/lexus ambayo iko imported but haina namba (probably from show roo,). Iwe na sifa zifuatato:-
iwe na rangi nzuri either nyeusi au blue.
iwe na real spoiler na...
Kipo center kabisa mita 50 kutoka barabara kuu, kinafaa kwa biashara na makazi, ukubwa mita 25 kwa 40,umeme upo huitaji hata kuweka nguzo, bei milioni 25 mazungumzo yapo. 0713078036, 0712485586