Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari jf, gari aina ya volkswagen polo inauzwa odometer. 84000km 1100cc ya mwaka 2001 gud condition, haina tatizo lolote. ipo arusha kwa sasa, bei ni 7m, maongezi yanakaribishwa. contacts...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna wakati binadamu bila kupenda hujikuta kakumbwa na tatizo la dharura ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka na the only solution inakuwa kupata kiasi fulani cha fedha kulikabili. Hali hiyo...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau mwenye kuhitaji kiwanja kina ukubwa wa 25x35, kuna nyumba yaa vyumba viwili vimeshapigwa bati ila bado madirisha, bei ni milioni 10, nicheki hapa 0762-323925
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Moderators na wengine tafadhali naombeni msaada jamani. Kuna mtu wa karibu na mimi anahama jiji la Dar es Salaam kurudi kwao kutokana na umri. Anataka kuuza eneo alilokuwa anamiliki ili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Yoyote mwenye hiyo simu anicheki kwa namba hii 0755065418,nipo mwanza
0 Reactions
9 Replies
1K Views
The fone has half touch screen problem, bt it works perfectly without considerin touch issue ! It has charger, protector and cover ! 0656 664 714, whatsap-0688 061010 !!
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Hello! Tiles Grade 1 Zenye Ubora wa Hali ya Juu, toka China Zinapatikana Tegeta Salasala kwenye Depot Mpya. Ni tofauti na hizi za Wachina zilizopo sokoni. 1.Nene zaidi 2.Nzito zaidi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Pata Universal Modem kwa Tsh.35,000/ hakuna haja ya kusumbuka ku'unlock au kua'limited na Mtandao wowote. Model yake 3.5G, HSPA. Speed 7.2Mbps (HSDPA). Inaslots mbili,...moja kwa'ajili ya line...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ipo karibu na DDC MAGOMENI KONDOA UKIIHITAJI 0655 44 44 40,iPo sehemu nzuri na bei yake ni 250,000 kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi naombeni ushauri kati ya hizi gari aina mbili lakini kampuni moja ya toyota,Nadia na Opa ipi ni bora in terms ya 1.Durability(kudumu) -Hili tuchukulie katika matumiz ya kawaida na yale...
0 Reactions
17 Replies
14K Views
Jamani naulizia wapi wanauza olive oil kwa jumla???
0 Reactions
8 Replies
2K Views
:A S-heart-2:PIKIPIKI INAUZWA AINA YA SNLG TSHS 1'000,000 IKO BOMBA 0759007560 :yo: :yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo:
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba unipe bei mkuu kama unayo,na ikiwezekana iwe inapatikana Dar itakua vizur zaid!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
:frusty::frusty: Jaman wanaJF mwenzenu nimepata dharura ila nina gari yangu aina ya nissan patrol naiuza kwa bei poa mil 14 ni manual, green, engine 42D, full AC, CC 4500 inatembea naomben...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Kiwanja kizuri tambarare hakina mabonde wala milima kinafikika kwa urahisi Kipo Mbezi ya Kimara, Maramba mawili msikitini bei ni 6,000,000/= maongezi yapo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kama kuna mtu anahitaji usafiri wa familia good news to you. Nlinunua gari nikasajiri trh 1/11/2012 kwa namba CEK niko nje ya Africa ila kwa vile nimeona nitachelewa kurudi huko(>2015) si...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni ya mwaka: 2000 rangi: bluu. Bei: 12,000,000/= Picha imeambatanishwa Karibu contact: 0754 29 2 731
0 Reactions
3 Replies
1K Views
vipo viwanja vitatu kama ifuatavyo sqm 20 kwa 20 bei 5,000,000/ sqm 20 kwa 24 bei 5,500,000/ sqm 24 kwa 26 bei 6,500,000/ viwanjwa vipo mpiji magohe CCM, umbali wa km 9 kutoka morogoro road...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Canon eos 1000D inauzwa bei laki nane kwa mawasiliano zaidi nicheki hapa 0713935738
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji Samsung Galaxy S3 kwa laki 6 lakin i want the real galaxy S3 na siyo zile mini version of S3
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom