Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa mahali naweza pata chumba cha kupangisha hapa Arusha mjini ambacho ni master. Maana hapa nilipofikia panaitwa majengo...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
FEATURES INCLUDED WITH ALL PLANS: - Cpanel Based Web Hosting - LiteSpeed Web Server with WordPress Cache - UNLIMITED MariaDB (MySQL) databases, email, FTP accounts - FREE Unlimited Auto SSL...
0 Reactions
3 Replies
984 Views
TUPO TEMEKE MWISHO ,TUNANUNUA MAGARI MABOVU NA CHUMA CHAKAVU BEI NZURI +255753555614
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari ya muda huu Vyote vipo katika hali nzuri. Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni. Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini. Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu. Kitanda pekee bei...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa aina ya chupa za plastiki design ninayoitaji mwenyewe?
4 Reactions
27 Replies
3K Views
NATAFUTA king'amuzi cha azam kwa bei ya elfu 70 kama mtu anacho anicheki 0768842303.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Uongozi wa st. Marcus pre, primary and secondary school iliyopo iwambi mkoa wa mbeya inapenda kutangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza (msingi) na kidato cha kwanza (sekondari)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ipo mikwambe fundi baisikeli ina vyumba vitatu kimoja master sitting room dining room jiko na public toilet bei milioni 80 mzungumzo yapo pia ina vyumba viwili masters...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
2012 Subaru Impreza G4 for sale. Automatic Trans. Number plate utachagua ww. Low Mileage. Bodykit kali + Muffler & Air intake mods ndogo. Smart Radio + Push to start. Bei ni 22.5M plus usajili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello, Naitwa khadija TUNATOA HUDUMA za kuandika barua za maofisi, invoice, delivery, excel. Tunajua sio kil Mtu ana komput au ana uwezo Wa kutumia komputa, hivyo kila kitu na tunafanya through...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
- Ist au Premio lenye hali Nzuri. Kwa matumizi ya kwenda kazini na kurudi -Rejesho 850,000 kwa mwezi au kwa week - kwa miezi 18 -mimi ni mwajiriwa Sekta binafsi sina familia - bank statements na...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu Habari natafuta single self maeneo ya kuanzia nanenane njiro kurudi nyuma mpaka fiber au na Zaid kidogo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Okoa gharama kwa kufunga taa hizi za solar. Taa hizi zinamfumo wa kujiwasha zenyewe kila baada ya masaa kadhaa kama utakavyo iseti pia zinakuja na remote control yake ya kuseti Zina sensor...
0 Reactions
3 Replies
906 Views
Habari Wakuu,kwa wale ambao wanafikiria kujenga au kuanzisha miradi mbalimbali kwenye Jiji la Dodoma wakati ni sasa. Unaweza kujipatia Viwanja kwa Bei nzuri kabisa kwaajili ya Matumizi ima ya...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wanandugu, leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup. Watu wengi wanafungua studio za...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Asalaam aleykum jamiiyah, kusudio la uzi huu ni kuweka bidhaa hapa ambayo unataka kuiuza ukizingatia biashara kwa siku za hivi karibuni zimekuwa za kimtandao zaidi, hiyo mtu yoyote atatupia bidhaa...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Samaleko Kwa wakazi wa daslamu na viunga vyake Napokea oda ya shuka za kimasai wiki hii yote mnipe oda mapema kabla sijaondoka arusha Nawasilisha.kwa maelezo zaid mnicheki whatsapp 0713968020
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Tunafanya huduma zifuatazo Kwa Bei nafuu zilizo na ofa za kutosha :- 1. Windows installation ( 10, 11) - 20,000 Tsh Utapata ofa ya - ms office activated - windows activation - na basic software...
1 Reactions
0 Replies
530 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…