PS2 used inahitajika!

PS2 used inahitajika!

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Naomba unipe bei mkuu kama unayo,na ikiwezekana iwe inapatikana Dar itakua vizur zaid!
 
Mimi ninayo mpya pamoja na contollers mbili andaa laki 2.8 nikupe mzigo..
 
Kuna neno used mkuu umeliona?hiyo inamaanisha kua bajet yangu ni ndogo na mpya nimekuta laki mbili!thanx sana mkuu!
 
ninazo 2 zina pad 4 zote toa laki 3..zina cheza game kwa flash..tayar game 3 ziko installed..0719315637
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom