nauza generator aina ya boss lenye power specification 2.2 to 2.4 KWatts
price 400,000/ negotiatble
contacts: 0713123713
Location Rufungira, Dar es salaam, karibu na kanisa la Kakobe
Kama ikiwa Bajaj Boxers au Tvs siyo mbaya. Kama vipi hata wa akina Fekon na T better waje tu. Ofa yangu ni tsh Laki 5-6. kama unayo ni pm tupange jinsi ya kuuona mzigo. natanguliza shukrani au...
mimi nimemaliza fourm 4 na kupa ta division 4 natafuta chuo cha tecnical ili kuchukulia fani yangu na chuo chenyewe kiwe kinatoa mafunzo ya electronic and communication
Blackbery 9800 inauza iko kwenye good order bei lak 4 tu! Ukiwa interested please ni PM kwa mawasiliano zaidi!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Tupo ktk mchakato wa kuanzisha kitu kinaitwa STUDENTS LEADERS ALUMNI...Kwa kuanzia membership itaanza kwa waliokuwa viongozi wa wanafunzi elimu ya juu- waliowahi kuwa ktk nafasi zifuatazo; RAIS...
Habari Waheshimiwa,
Natafuta Large format printer kwajili ya printing ya Mabango makubwa, nikipata hata ya Kichina Fresh, mnaweza kufahamu sehemu ambayo nikafanikiwa kupata hicho kifaa?
je unahitaji ps 2 used,kwa bei nafuu,piga 0719315637
zipo chache
tayari zimechipiwa,zina flash za 2gb na latest games 3..ikiwemo tekken 5,pes 2013,na midnight race2.
pia kuna controller pad...
Wapi? Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho).
Kumbuka: Barabara ya lami iko mbioni kujengwa kuelekea Morogoro Rd.
Ukubwa?mita 40 kwa 20 na mita 20 kwa...
Wapi? Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho).
Kumbuka: Barabara ya lami iko mbioni kujengwa kuelekea Morogoro Rd.
Ukubwa?mita 40 kwa 20...
habari jf,
gari aina ya volkswagen polo inauzwa
odometer. 84000km
1100cc
ya mwaka 2001
gud condition, haina tatizo lolote.
ipo arusha kwa sasa,
bei ni 7m, maongezi yanakaribishwa.
contacts...
Kuna wakati binadamu bila kupenda hujikuta kakumbwa na tatizo la dharura ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka na the only solution inakuwa kupata kiasi fulani cha fedha kulikabili. Hali hiyo...
Wadau mwenye kuhitaji kiwanja kina ukubwa wa 25x35, kuna nyumba yaa vyumba viwili vimeshapigwa bati ila bado madirisha, bei ni milioni 10, nicheki hapa 0762-323925
Moderators na wengine tafadhali naombeni msaada jamani.
Kuna mtu wa karibu na mimi anahama jiji la Dar es Salaam kurudi kwao kutokana na umri.
Anataka kuuza eneo alilokuwa anamiliki ili...
The fone has half touch screen problem, bt it works perfectly without considerin touch issue ! It has charger, protector and cover ! 0656 664 714, whatsap-0688 061010 !!