ANDENDEKISYE C
Member
- Mar 5, 2012
- 90
- 23
Tupo ktk mchakato wa kuanzisha kitu kinaitwa STUDENTS LEADERS ALUMNI...Kwa kuanzia membership itaanza kwa waliokuwa viongozi wa wanafunzi elimu ya juu- waliowahi kuwa ktk nafasi zifuatazo; RAIS, MAKAMU WA RAIS, W/MKUU, MAWAZIRI, NAIBU MAWAZIRI wa serikali za wanafunzi nk.
Litakuwa ni tanuru la kujadili changamoto za elimu ya juu, pamoja na level zote, pamoja na kuangalia nini kifanyike ktk taifa hili. Mwenye wazo la kuboresha, tafadhali fanya hivyo.... TAFADHALI WANAOJUA NI WAHUSIKA WAKUU WAONAMBWA KUTUMA MAJINA NA MAWASILIANO YAO KWANGU, NA KUONYESHA TAARIFA YA LINI WALIKUWA VIONGOZI.
Kwa sasa, tuma email kwenda info@trueroadtechnologies.com TRUE ROAD TECHNOLOGIES inajitolea kwa muda kuratibu jambo hili.