sony p910i. inauzwa!

sony p910i. inauzwa!

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Hii bei yake sio mbaya ni 180,000 imetumika miez mitatu

N:b
Original na guarantee ya kutosha!
 
Mkuu hii kitu ni nn? Cm,camera, tv, fridge ?!!!! Mi nime search ktk gsmarena. com cjaona product km hii ktk brands za sony. Ndio maana tunalalamikia sana picts. Siamini kama hata huyo alisema anahitaji anajua ni nn!!!! Xxxxyyyzzzzzzz!!!!!!!*******
 
Ndugu zangu hii ni cm na ujiingia google ukisearch inakuja na details zake zote..ngoja niweke picha mujionee wenyewe!
 
Hiyo sio sony. Kumbuka sony na sony ericsson ni kampuni 2 tofauti. Mnao google type sony ericsson p910i
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom