Wapi? Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho).
Kumbuka: Barabara ya lami iko mbioni kujengwa kuelekea Morogoro Rd.
Ukubwa?mita 40 kwa 20 na mita 20 kwa 20
Bei? (40x20=milioni 22)
(20x20=milioni 11)
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Kipo barabarani (ya mtaa)
. Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
. Hakuna dalali