Microbiological analysis of water and fruit juices. Mikrobiologika Uchambuzi wa maji na juisi. Microbiological analysis of potable water and fruit juices are done at the Department of Molecular...
Karwela Electronics introduces you
Brand new 3 Samsung S3 phones
With 1year warranty
If you have not seen the image of it refer below
Call 0766026849
Call 0766026849
Ni wale wanaopenda mchele wa asili uliopandwa katika ardhi ya kitanzania mbegu ya asili ya mpunga iliyo oteshwa katika bonde safi lenye rutuba ya asili la magugu mkoani manyara.sasa ni mara...
Habari wakuu,
Nimeamua kuuza shamba langu,
Details:
Heka 30
Sehemu,wami dakawa,luindo
Mazingira;lipo pembeni ya mto wami
Linafaa kwa kilimo cha mpunga kwa masika,na mboga mboga kwa...
shamba lenye mazao miembe michungwa mininga kama heka 2 mikoroshn na mazan mengi pamoja na kisima cha maji cha kuchimbwa lipo umbali wa kilometa 2 toka barabara ya morogoro linauzwa Tsh...
Nduguzangu nina uzoefu wa kuchapisha Tshirt kwa mashine,very nice quality & ya kudumu bei yake sio ya kutisha ila roho yako itapenda.
Tembelea www.waladamintz.blogspot.com
tunasambaza mabanzi kutoka iringa,kwa wateja hapa dar wanaohitaji tunapokea oda
..ni PM
Updates:
mabanzi bado yapo,ni mti wa pines,ft 12,tunapokea oda,mzigo unaletewa mpaka mlangoni!bei ya...
Ndugu,
Video camera ipo safi kabisa inauzwa. Price 320,000 tzs
Includes; 4 GB memo card, charger, av cable na usb cable, battery pack
Pls serious buyers dial 0715490570.
Ardhi kuanzia heka moja mpaka heka 250 bei ni kulingana na eneo, maeneo yote yanafikika kirahisi kwa gari, bei kuanzia milioni 2 mpaka milioni 3, kwa mawadiliano piga 0717000990/ 0764434673/...
Ina vyumba vya kulala vitatu,kimoja ni master bedroom,jiko,sitting room,stoo na dining.pia imezungushiwa ukuta.ipo karibu/nyuma ya sokoni,ina hati miliki
bei; tshs millioni 90
Dalali anaruhusiwa