Nyumba inauzwa mbagala kizuiani

Nyumba inauzwa mbagala kizuiani

Joined
Jan 26, 2013
Posts
34
Reaction score
7
Ina vyumba vya kulala vitatu,kimoja ni master bedroom,jiko,sitting room,stoo na dining.pia imezungushiwa ukuta.ipo karibu/nyuma ya sokoni,ina hati miliki
bei; tshs millioni 90
Dalali anaruhusiwa
 
Ina vyumba vya kulala vitatu,kimoja ni master bedroom,jiko,sitting room,stoo na dining.pia imezungushiwa ukuta.ipo karibu/nyuma ya sokoni,ina hati miliki
bei; tshs millioni 90
Dalali anaruhusiwa
Mkuu nimekupata.
Ngoja nimpigie Tabwe hiza anifahamishe yupo jirani sana na hapo
 
Mbagala kizuiani yote imenunuliwa na mearabu anajenga parking? Usituingize chaka hapa ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom