CAUTION:HII SIMU SIYO KWA WATEJA WA TIGO MAANA KWA RESEARCH NILIYO FANYA KUWA TIGO HUTUMIA SYSTEM YA GSM TU..HII NI KWA WATEJA WA ZANTEL VODACOM TTCL lbda na AIRTEL...
hii simu haina sehem ya...
A double storeyed house of five bedrooms located on main Bahari Beach road, has kitchen, living area, dinning area, three rooms on ground floor, has huge master bedroom and another self...
Wadau apartments zinapangishwa makongo juu, mwisho karibia na kanisa la roman catholic. Three bedroom apartments, one master, viwili vya kawaida, large living space , kitchen , na balcony mbili...
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
Tafadhali naomba kujua gharama, mahitaji, mizunguko (sehemu za kupita) na mahitaji mengine kwenye kufuatilia hadi kupata pasipoti ya nchi yangu Tanzania.
Tafadhali
Sasa waweza kupata Galaxy S3 na Galaxy note gl te kwa sh. 660,000/ zimetumika Korea kwa mawasiliano zaidi mpigie mwenye no hii.zipo za kutosha 0766 11 12 12
Sababu za kuuzwa bei hyo ni kwamba ina tatzo la sauti, ukipiga au kupigiwa hausikii sauti. Ila kuhusu CARRIER NETWORKS inaunga line zote, na unaitumia JF, Whaatsap, badoo, FB, twitter, instagram...
nyumba inauzwa ipo maeneo ya ubungo external haioko mbali kutoka stand ina vyumba 4 na sitting room kubwa na jiko ndani pia ina fence ambayo magari 5 yanaweza yaka park...inshort nyumba iko...
Wakuu kwema? Natumaini mko sawa na maandalizi ya kumpokea Obama yanaendelea vizuri sana. Wakuu ninataka kuanza ufugaji wa kuku wa Nyama na mayai, ninahitaji kijana mzoefu aliyewahi kufanya hii...
Natafuta chumba cha kupanga (Self Container) Maeneo ya kuanzia Tabata shule hadi Segerea.
KISIWE MBALI SANA NA BARABARA.
Kiwe na maji
Kiwe mazingira mazuri
Kuwe na Usalama wa kutosha
Kama una...
Nauza Pikipik bajaji platina 125cc, imetumika miaka miwil sasa kwa kuendea ofisin. Bei ni 1200000, maelewano yapo kodgo. Nina shida na pesa haraka, tafadhali serious buyers contact me on kwa Pm.
habari wa JF nina ps 2 nauza ipo kwenye hali nzuri. inatumia flash kucheza games, chaji, video wire na padi 1. Kama unaitaji nicheki kwenye 0716-369299. bei ni 170,000/=
VIWANJA KWA BEI YA KUTUPA........
ENEO;block 2 na block 3,mbezi kwembe.Kinondoni Municipal
BEI;9500Tsh kwa sqm 1
Maelewano yapo,vimebaki viwanja vitatu
Vimepimwa na viko kwenye ofa...
Salaam sana
Je; wewe ni mwanasiasa, mfanyabishara au raia ambaye maisha yako yako au familia yako hatarini?
Je, unahitaji Body Guards au Detectives ambao wamepitia mafunzo maalumu?
Tunatoa...