Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari mbili. lipo maeneo ya kibaha boko mnemela karibu kabisa na barabara ya kutokea mlandizi. umbali wa km12 kutoka tumbi. Eneo husika kuna umeme so ukijenga pale...
Eneo ni zuri linafaa kwa ujenzi wa makazi,maji,umeme vipo,eneo ni tambarare,ukubwa wa plot ni 70 kwa 70 hati ipo,km 5 kutoka barabara ya morogoro, bei maelewano anayejijua anahitaji anipm.
Kwa ushauri wapi uchukulie mikopo, kwann? na matumizi sahihi ya mikopo tuwasiliane!!
Pia kama unahitaji kusaidiwa jinsi ya kunakili, kutunza kumbukumbu za biashara zako kwa njia za kihasibu...
Nyumba ya vyumba vitatu, sitting room, Dinning room na jiko inapangishwa Makongo juu. Ipo ndani ya uzio, umeme wa Luku maji ya kununua inapangishwa.
Kodi ni laki nne kwa mwezi (400,000 per month)...
Kuna Eneo Zuri linauzwa lipo Chanika Adida Karibu na shule ya sekondari binafsi, lenye urefu wa mita 110 na upana mita 30, bei yake ni shilingi 50,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788883962.
Viwanja vyenye hati miliki(title deed) vinauzwa kigamboni.
Ukubwa wake ni 1007 sqm, kipo Gezaulole block 24, na kingine 1543 sqm kipo kibada block 26. Bei ni sh 30,000 per sqm.
Pia kuna kiwanja...
Waungwana wanaJF habari zenu na poleni kwa pirika za maisha dhumuni la mtiririko huu kutoka kwangu ni kuulizia kama kuna mtu yeyote hapa jamvini anayo au anamfahamu mtu anayeweza kuuza au sehemu...
Wanajamvi wenzangu.
Kwasasa serikali imezindua kampeni ya virutubisho kwa watoto wenye umri wa miezi 6-miaka 5. Kampeni hii ambayo inafadhiliwa na USAID na Wizara ya Afya nia yake hasa ni...
Almost new Nikon D3100 with digital SLR features for sale. Some of the features include: DX format, 14 megapixels, capable of video recording, 18-55mm lens, 3 inch LCD screen, built in flash...
Wapendwa wana JF biashara ni matangazo nami natangaza yangu! Mie ni freelancer graphics na websites kwa bei nafuu! Pia kama una website na unadhan inahitaji marekebisho usisite kunipa tenda! Kwa...
Poleni na majukumu, kwa wale wajasiliamali wezangu nahitaji msaada wenu nimekwama, nimepata katenda ka kujenga networking mahali nimefanya kwa hatua zote, mwisho nimekwama kwenye Saver. Aina ya...