Laptop mpya kwa bei ya jumla

Laptop mpya kwa bei ya jumla

mtanzania2013

Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
63
Reaction score
1
uploadfromtaptalk1373864339488.jpg
 
je hiyo ndio model hii HP 1000-1b02AU?ni mpya au used?toa contacts.
 
Model no. Hp 1000 ( kama picha )
Brand new ( siyo used)
Sisi ni dealer wa HP bei hiyo ni kuanzia pc5.
Ukihitaji mmoja bei yake itakuwa dola $ 335
Samsungdistribution
0684055755
Ali
 
Model no. Hp 1000 ( kama picha )
Brand new ( siyo used)
Sisi ni dealer wa HP bei hiyo ni kuanzia pc5.
Ukihitaji mmoja bei yake itakuwa dola $ 335
Samsungdistribution
0684055755
Ali
Let's talk about Tzs, naweza kupata ya cheaper than that?
 
Model no. Hp 1000 ( kama picha )
Brand new ( siyo used)
Sisi ni dealer wa HP bei hiyo ni kuanzia pc5.
Ukihitaji mmoja bei yake itakuwa dola $ 335
Samsungdistribution
0684055755
Ali

Meku unauhakika kwamba hiyo namba ni ya kwako na ipo kwa ajili ya biashara?
 
Uuwi. Intel Celeron? Hiyo chip inafaa kuwa museum saa hii. halafu eti dola mia tatu? get a life
 
Bro usiwasikie wengine kama unataka lweli kununua nenfa lwonye google na uandike specification hizo na siii model ya zamani.
Na sisi tunayo dual core., core i3 ,nk hii bei ni ya mpya kabisa .
 
Hapa kuna mabishano ambaye haina maana, nimetangaza product niliyokuwa nayo ni maamuzi yenu kununa au kutonunua
Na kama ningekuwa si mkweli nisingewaambia kama muende ktk google na mtafute .
Huyo mkuu anaonesha vitu ambayo zipo dar na ni bei rahisi kuliko hiyo site ,lakini wengine ushambaa na uvivu umezidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom