Nauza shamba la ekari mbili

Nauza shamba la ekari mbili

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
157
Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari mbili. lipo maeneo ya kibaha boko mnemela karibu kabisa na barabara ya kutokea mlandizi. umbali wa km12 kutoka tumbi. Eneo husika kuna umeme so ukijenga pale umeme ni fasta tu.
Kama uko seriuos na biashara niibox
Bei 8 Million
 
Mkuu hebu weka bei, biashara haina siri. Wengine tuna aleji na PM!
 
Bei nishaweka mkuu milioni nane tu na shamba kwa sasa lina mihogo inayoweza kuvunwa tayari
Mkuu hebu weka bei, biashara haina siri. Wengine tuna aleji na PM!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom