Kiwanja kinauzwa mita 30 kwa 30 kipo KIMELE (km 3 kutoka Bunju mwisho) kipo kwenye mchakato wa kupimwa. Bei ni Mil 7 maongezai yapo,Kwa maelezo zaidi ni piga 0713445656
Wakuu kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya kimara king'ong'o km kama 3 ukitoka kituo cha kimara mwisho
kuingia ndani. Ni sehemu ambayo watu wanaishi kuna umeme na kila kitu yani pamebaki hapo tu...
Camera Zingine zinauzwa...Kama Title inavyo Sema
Camera Zote Mbili Kwa Lak.Mbili Tuu!! Yani 2 For 2
Camera Used Ya aina Panasonic Lumix Yenye 14.1MP 5X Optical Zoom!!
Na...
Tunatoa ushauri wa bure hususani kwenye masuala ya ujenzi naubunifu wa ramani za nyumba aina mbalimbali,haishauliwi sana kwa wateja kununuaramani barabarani au kutumia uzoefu kwenye masuala ya...
Habari zenu nauza camera mpya aina ya canon ixus 220 hs ina mega pixel 12.
Unaweza kuigoogle kupata details zake muhimu. Picha zake zina quality nzuri sana
0717183929 ukiipenda tuwasiliane. Bei...
Wadau na Marafiki JF..! Karibuni sana kwenye HOTELI yetu mpya inaitwa PENGUIN RESORT HOTEL,Iko Sakina mita 900 toka Triple A Night Club. Tuna vyumba 31 vyenye hadhi na ubora wa juu,kuanzia maji...
ANNOUNCEMENTS:
1 Bed room Service Apartments at Nelly's Inn Mbezi Beach:
Nelly's Inn is proud to offer a few Apartments now available for just a fraction of the hotel rates.You get to live in...
ukubwa wake ni hatua 20 kwa 14,zuri linafaa kwa ujenzi wa makazi,ni zuri tambarare,lipo karibu na kituo cha basi magengeni,bei yake ni tsh 3500000/-anayehitaji anipm.
Watanzania jipatieni Tshirt za ukweli ambazo zinachapishwa kwa mashine.utavaa kwa muda mrefu bila kuharibika na pasi.
zinapatikana kariakoo mtaa wa sikukuu/udoe
Www.waladamin.blogspot.com
Habari members! naomba kufahamishwa gharama za zote ( gharama kamili) za kuagiza gari aina ya coster ama aina nyingine inayofanana na hiyo kutoka nje ya nchi hadi inanifikia mimi kama mmiliki...
Wakuu nauza townace noah yangu ambayo ni private ila ilishapiga kazi ya abiria
ni nyeusi
odo 190,000km
namba a,
bei 5ml, inatembea naitumia kwa kazi zangu zamizigo ya dukani
Natafuta RAV4 ya mwaka 1998 ambayo haijatumika Tanzania yenye 3s ENGINE. Kwa wadau wenye uzoefu naweza kupata kwa bei gani? mimi budget yangu ni 14m. Mwenye nayo naomba anijulishe
Camera Zingine zinauzwa...Kama Title inavyo Sema
Camera Zote Mbili Kwa Lak.Mbili Tuu!! Yani 2 For 2
Camera Used Ya aina Panasonic Lumix Yenye 14.1MP 5X Optical Zoom!!
Na...