Wadau,
nahitaji iPad ya Samsung inayotumia laini ya sim (sim card)
Kama unayo SAmsung Model GT - P5100 au nyingine yeyote naomba uni pm;
Mimi niko Arusha
Ni nyeusi, ina 32gb memory, 8mp camera, 1gb ram, na 1.5ghz quadcore processor. Imetumika 5 months, inakuja na charger tu. Kama uko interested njoo pm, au nichek at 0717301520
Wakuu natafuta kikund mwenye details ama contact anitafute ni hapa haa dar..ni tenda ya mwaka mzima kila wiki ku perfome. kikundi kiwe cha ukweli kimekamilika
nitwangie:
0714 925 525
habari ndugu zangu nauza maharage ya soya ya njano gunia moja la kilo mia ni laki na thelathini nina magunia mia moja na hamsini pia nina magunia machache ya mbaazi kila gunia moja ni laki tatu...
Habari wanajanvi,naomba msaada kwa anayejua vizuri kuhusu kutoa vitenge Tz kupeleka Nairobi taarifa zisizo rasmi sana nilizopata ni kwamba vitenge vinanunuliwa sana huko,sasa kabla ya kwenda...
While we all know the factors affecting the prices in a free enterprise economy are simply the demand and supply, or the market forces as preferred by those who have been to an economics...
Wana JF, leo nikiwa natoka kwenye pirika zangu, nimekutana na dalali eneo la Kivule Matembele, ameniambia kuna nyumba inauzwa eneo la Kivule/Kitunda kituo cha Daladala Msikitini mita kama 200...
Wakuu habari zenu.. Natafuta nyumba yenye self contained bedroom, sitting room na kitchenete maeneo tajwa hapo juu.. Iwe na maji.umeme na paRking pia. Offer yangu ni 200,000 shs... Msaada...