Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hello.Kama kuna fundi anaeweza kunirekebishia hasa kufanya replacement screen ya Samsung Galaxy S3 Mini imepata crack(Sio LCD Screen) naomba aniPM au 0752385949.
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Inalima na pia ina kijiko cha mbele kwa ajili ya kazi za ujenzi. Ni mashine ya mwaka 2010 Kiti kizuri cha kukalia muda mrefu bila kuchoka Ni tractor kutoka kampuni ya New Holland...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
bajaji inauzwa kwa millioni 2,..imetumika takribani mwaka 1 na nusu..lina tatizo dogo tu la starter na gear ni zaku set....wasiliana nami kwa namba 0717 022737...bajaji ipo maeneo ya chang'ombe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
next month katikati natarajia kuwa dar...naulizia wapi tapata usafiri wa kukodi but nijiendeshe mwenyewe...bei iwe kati ya 30 - 50...nawakilisha wakuu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
I have used dumpers, and concrete mixers for sale all in good condition. Mawasiliano 0713 484 896
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu simu tajwa hapo juu inauzwa, bei 250000, imetumika miezi miwil na wala haina michubuko yoyote.. pm ipo kama kwenye picha hii kila kitu.. serious buyers ni-PM au WEKA NAMBA YAKO NAKUPIGIA..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu kwa mwenye kuhitaji simu niliyoitaja hapo juu tafadhari tuwasiliane kupitia +255653638824 simu imetumika ndani ya miezi 3 haina mchubuko wowote..for more specification Please Google "Sony...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, nataka kuwekeza kwenye kilimo hapa korogwe kama kuna yeyote mwenye ardhi inauzwa tafadhali ni PM, eneo lisiwe umbali unaozidi 20km toka korogwe mjini eneo liwe angalau kuanzia eka 4...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
natafuta gari la mil.4 liwe na uwezo wa kufika iringa .LINAWEZA KUWA spacio, cami,colora.mwenye kuwa nalo ani pm tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Nauza mafuta jumla na reja reja npo mwanza.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maeneo ya/au karibu na nyegezi...vyumba 2 au 3
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Nauza ipsum new model Cc 2360, 4cylinder in a very good condition Namba zake T883 CMF imesajiliwa july 2013 Mileage 144000 Year 2001 Bei milioni12,800,000cash..mm sio dalali ni mmiliki so hamna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama wewe ni [Mbongo] Mtanzania na unapenda kilicho chako cha nyumbani kwako tafadhali bofya anuani zifuatzo ili tuweze kikuza na kuendeleza kilicho chetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi mwezenu sina kazi sina elimu ila natafu kazi maisha ninayo ishi nimabaya sana kwahiyo mwenye uwezo wakutoa musaada wa kupata kazi yoyote ile mi nitafanya sitochagua maana yamenifika unaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gari aina ya toyota noah inakodishwa kwa shughuli mbalimbali, bei ni maelewano wasiliana na 0756081098, 0715145751
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Epuka Matapeli...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Nilikua nauliza kama kuna mtu ana ujuzi na upatikanaji wa mashine za kubolea na kusaga pamoja na bei yake..plz kama unafahamu lolote kuhusu hili naomba majibu..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.Canon EOS 400 for sales 10 megapixel in very good condition Tsh 650000.00 seriously buyer only. Call 0712652110
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Laptop DELL INSPIRON N5050 inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa (used for 1 month). SPECIFICATION: RAM 2GB, HDD 500GB, PROCESSOR 1.6GHZ, WEB CAM NA WIRELESS FEATURES. Bei ni Tsh 450,000 (Haina...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Back
Top Bottom