Erick kg
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 314
- 73
bajaji inauzwa kwa millioni 2,..imetumika takribani mwaka 1 na nusu..lina tatizo dogo tu la starter na gear ni zaku set....wasiliana nami kwa namba 0717 022737...bajaji ipo maeneo ya chang'ombe mchicha karibu na uwanja wa taifa.