Gari ya kukodi

Gari ya kukodi

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
2,094
Reaction score
1,376
next month katikati natarajia kuwa dar...naulizia wapi tapata usafiri wa kukodi but nijiendeshe mwenyewe...bei iwe kati ya 30 - 50...nawakilisha wakuu.
 
Just saloon inatosha ya kuzungukia mjini kwa muda kama wa wiki 3 hivi..sitaenda nje ya dar.
 
Siku hizi matapeli walivyojazana nani atathubutu kumpatia mtu asiyemjua gari?
 
Siku hizi matapeli walivyojazana nani atathubutu kumpatia mtu asiyemjua gari?

mie siishi huko bongo mkuu..hatuwezi fanya mambo kienyeji kaka...kila business lazima mbadilishane docs...ikibidi na mna sign contract pia...biashara za mali kauli zimepitwa na wakati....
 
mie siishi huko bongo mkuu..hatuwezi fanya mambo kienyeji kaka...kila business lazima mbadilishane docs...ikibidi na mna sign contract pia...biashara za mali kauli zimepitwa na wakati....

Nipe mda kidogo, hilo deal niachie mm
 
Back
Top Bottom