salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
ziko Kinyerezi umbali wa km mbili toka airport zina ukubwa wa 20mx20m bei milioni 10 tambarare na milioni tano penye mterereko, wahi zipo 50 tu ukipendelea ni pm. Za bagamoyo ziko kaole mita 200 toka baharini ukubwa 20mx20m bei milioni 25 zipo 32 tu wahi, Pia kuna shamba kiwangwa eka laki saba ziko ekari 110 tunakata kuanzia 5. Interested parties please in box me