Laptop inahitajika haraka sana

Laptop inahitajika haraka sana

rilprogrammer

Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
94
Reaction score
19
Bajeti ni laki 3 na 70

iwe ya kisasa na haina michubuko,katika hali nzuri ya utendaji.
chaji angalau masaa 3.
mpya au used hiyo juu yako bora mashine inapiga mzigo na muonekano wa kuvutia.
nicheki hapo fasta 0714281313
 
unahitaji v2 vizur kwa gharama ndogo ukitaka ya hvyo labda specification iwe ndogo maana kwa hyo bei ata nokia lumia used hupat jipange alafu urud tena
 
unayo yenye sifa gani au unaona raha kucomment tu
 
sio anaona raha kukoment ni uhalisia amekupa,ukiwa bahili usipende vizuri. Eti ya kisasa,isiyo na mchubuko kwa laki 3 na 70 kweli hauko serious!
 
Bajeti ni laki 3 na 70

iwe ya kisasa na haina michubuko,katika hali nzuri ya utendaji.
chaji angalau masaa 3.
mpya au used hiyo juu yako bora mashine inapiga mzigo na muonekano wa kuvutia.
nicheki hapo fasta 0714281313

Mimi nitakupa d630 safi kabisa ongeza 30 hapo bosi wangu.
 
Bajeti ni laki 3 na 70

iwe ya kisasa na haina michubuko,katika hali nzuri ya utendaji.
chaji angalau masaa 3.
mpya au used hiyo juu yako bora mashine inapiga mzigo na muonekano wa kuvutia.
nicheki hapo fasta 0714281313

Saa 3? Unataka double cell kwa $250? U are joking, mpya zwnyeww hazikai hivyo labda lakini
 
Bajeti ni laki 3 na 70

iwe ya kisasa na haina michubuko,katika hali nzuri ya utendaji.
chaji angalau masaa 3.
mpya au used hiyo juu yako bora mashine inapiga mzigo na muonekano wa kuvutia.
nicheki hapo fasta 0714281313

Mm nna Acer Aspire E-531, ina miezi miwili na nusu tangu inunuliwe, mpyaaa, charge masaa 5 hadi 6. Spidi 1.8ghz, ram 2gb, dvd rw, wireless, 15.6 screen size, Hdd 320 GB. Bag na Speakers Dell za Nje. Nipe Laki 4.5, Risiti na Warrant bado ipo na ma lylon hayajatoka. Ni Pm kama Unahitaji.
 
sio anaona raha kukoment ni uhalisia amekupa,ukiwa bahili usipende vizuri. Eti ya kisasa,isiyo na mchubuko kwa laki 3 na 70 kweli hauko serious![/

hii biznes huria ndugu...wewe kama huwezi kupata haimaanishi haiwezekani..tushanunua sana tu hivi vitu..
 
Mm nna Acer Aspire E-531, ina miezi miwili na nusu tangu inunuliwe, mpyaaa, charge masaa 5 hadi 6. Spidi 1.8ghz, ram 2gb, dvd rw, wireless, 15.6 screen size, Hdd 320 GB. Bag na Speakers Dell za Nje. Nipe Laki 4.5, Risiti na Warrant bado ipo na ma lylon hayajatoka. Ni Pm kama Unahitaji.

nime ku-pm ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom