Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

viwanja ambavyo vipo karibu na bandari bagamoyo maeneo ya kitopeni vinauzwa kwa Matumizi Tofauti kwa mfano ku invest, makazi... n.k,, kila square meter moja ni shilingi elfu nane na vimepimwa pia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji pikipiki used iwe ktk hali nzuri, pia iwe na documents zote, ingependeza ikawa sanlg, fekon au boxer. Dau langu ni shs laki saba. Contact 0714-408238.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa JF, mimi nina mashine ya kutotolesha vifaranga. Tatizo ni jinsi ya kupata mayai. Naomba mnisaidie wapi nipate mayai yaliyolelewa kwa ajili ya kutotoleshwa. Niko Mbeya , ILEJE.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta fundi wa Pikipiki aina ya Honda Sabre VF 750. Tangu nimeileta toka Japan sikuwahi kuitumia. Kama kuna mtu yeyote aliye na pikipiki ya aina hii naomba tuwasiliane ili niulizie fundi wakeni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kama tangazo linavyojieleza kila moja shilingi Tsh 15000/= na zingine itagemea na umaarufu wa mtu..lakini haizidi 70000/= napatikana Kariakoo shimoni na hapo ulipo..
0 Reactions
64 Replies
22K Views
A well maintained CR-V for sale at 14,000,000mil ( negotiable price). Its in dar es salaam and readily available once transaction is complete. Kindly contact 0718-551122 for more information or...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello, nauza simu tajwa hapo Tzs 170,000,ni original na haina tatizo ila ninataka kubadili aina ya simu kwa sasa. Haina michubuko ila kidogo ktk maandishi ya neno blackberry. Asanteni Sent from...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
NINAUZA USED CANON 450D kama inavyoonekana kwenye picha kwa sh 700,000/- tu mawasiliano 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Kiwanja kipo Morogoro kihonda kwa chambo, ukubwa 600m. Bei 7m huduma ya umeme upo, maji yapo karibu. Namba yangu 0715500248 au 0756171831
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Habari, Kwa wale wanaohitaji unga wa ugali wa dona wawasiliane na mimi. Unga huu umetengenezwa kutokana na mahindi na ngano bila kukoboa ili kubakisha virutubisho vyake mhimu kwa afya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, TV hiyo ya 32 inches LG flat screen ipo sokoni,bei 500000 tsh only. No PM please,call or text on 07560597108 if interested. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wanandugu wa JamiiForums. Je umeletewa zawadi simu ya iphone kwa bahati mbaya haikubali kutumika na mitandao ya hapa Tanzania? Au umenunua mwenyewe lakini hukujua kama haitatumika na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Toleyo jipya la satellite dongle gprs cim card,Inafunguwa dstv zaidi ya channels 180.pcs. channels 15,french. 5,pcs chinease. 150pcs English. pcs10, portugale Pamoja na canal satellite 22wst wahi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
habari wa JF nina ps 2 nauza ipo kwenye hali nzuri. inatumia flash kucheza games pia ntakupatia chaji, video wire na padi 1. Kama unaitaji nicheki kwenye 0716-369299. bei ni 160,000/=
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba ya vyumba vitano vya kulala Ipo eneo la Manzese Tip Top inauzwa. Nyumba ina hati. Bei inaanzia 85m. Maelewano yapo Kwa mawasiliano piga 0719173017
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Specifications: HHD = 120GB RAM= 2GB PROCESSOR= Duo core DVD-RW It is a used pc but still in a very good condtion. Price: Tshs 300,000/= Contacts: Just send your sms to 0769142586 Who come...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Wadau, Habari za Ujenzi wa taifa! Kuna Laptop Inauzwa, Imenunuliwa takribani miezi 4 iliyopita ikiwa MPYAAAA! Hizi ni baadhi ya sifa zake Hard Disk: 500GB Memory:(RAM) 2GB Processor: Intel(R)...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Vyumba vya kupanga(chumba na sebule) vinapatikana maeneo ya ubungo darajani, ni self-contained. Bei ni 100,000/= kwa mwezi, kulipia ni miezi 6, kwa anayehitaji aniitumie private message(PM) kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ni e machines haina tatizo pesa inahitajika kwa haraka . 0714 925 525 nipo dsm. hard disk 250 GB. ram 2 call only for serious buyers so urgently
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…