Jipatie unga safi wa dona kwa afya yako

Jipatie unga safi wa dona kwa afya yako

Upendomia

Senior Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
121
Reaction score
13
Habari,

Kwa wale wanaohitaji unga wa ugali wa dona wawasiliane na mimi. Unga huu umetengenezwa kutokana na mahindi na ngano bila kukoboa ili kubakisha virutubisho vyake mhimu kwa afya, umeongezwa kiasi kidogo cha ngano ili kuufanya mlaini, mtamu na wenye kuvutia kulika na mboga yeyote.

Bei: 1,500/= kwa kilo, kuanzia kilo 10 unaletewa popote ulipo Dar Es Salaam.

Nipigie: 0714755582

Karibuni.
 
Dona dona au donna?
Anyway thanks nitakutafuta lakini kwanza nitamuuliza PM wangu kama angependa tununue maana unga huo umekuwa very popular siku hizi
 
Back
Top Bottom