K Kede Member Joined Jun 13, 2011 Posts 31 Reaction score 19 Sep 22, 2013 #1 Habari wakuu... Natarajia kununua Nissan March 2004, nahitaji kujua kama kuna mwenye uelewa juu ya gari hizi uzuri na matatizo yake....
Habari wakuu... Natarajia kununua Nissan March 2004, nahitaji kujua kama kuna mwenye uelewa juu ya gari hizi uzuri na matatizo yake....
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Sep 22, 2013 #2 Gari dawa yake kubwa ni service tu. Spare zake zinapatikana ingawa bei kidogo ziko juu. otherwise hazina matatizo sana kama utazirepair
Gari dawa yake kubwa ni service tu. Spare zake zinapatikana ingawa bei kidogo ziko juu. otherwise hazina matatizo sana kama utazirepair