Nauza eneo la ekari 2 lipo kidimu

Nauza eneo la ekari 2 lipo kidimu

Mzani

Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
80
Reaction score
5
Halo Wanajamii.
Ninauza eneo la ukubwa wa eka 2, eneo lipo kidimu maeneo ya mpigi kwa mbele.
Eneo halijapandwa chochote. Lina mchanganyiko wa bonde na tambarale.

Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0784707789.

Karibu
 
Bei ninayouza kwa sasa ni Tsh 10,000,000/=
na mimi ndio mwenye eneo hilo

karibu
 
Halo Wanajamii.
Ninauza eneo la ukubwa wa eka 2, eneo lipo kidimu maeneo ya mpigi kwa mbele.
Eneo halijapandwa chochote. Lina mchanganyiko wa bonde na tambarale.

Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0784707789.

Karibu

Ndio wapi huko kidimu?
 
mpigi ni ijua mimi iko uganda ukielekea masaka ukitokea kampala. ama ni mpigi ipi hio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom