Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari wakuu naomba mwenye simu tajwa hapo juu ani-pm bei na namba yake ya simu mie ntampigia.IWE IMETUMIKA AU MPYA
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu mambo vipi nina s3 mpyaa kwenye boksi laki6, s4 mpyaaa kwenye boksi laki8, s4-mini laki6 na note 2 laki 750 iphone 4s kwa 500 with ios7 na iphobe 4 laki450 with ios 7 ur mostly...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Vyumba viwili, sebule, choo na bafu unajitegemea, ulinzi wa kutosha wewe na mali yako, .. 0776 000084
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba kwenye picha iko Pwani, Manispaa ya Kibaha, Bokotimiza (kilomita 4 toka Tumbi Hospital ina vyumba 4, iko kwenye ekali 2, umeme uko karibu sana pamoja na maji ya kuvuta, Kuna miti ya matunda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hellow wanajamvi blackkberry bold 9900 inauzwa ipo vizur kihali ime2mika miezi 6 tuu kila k2 knafanya kazi vzur internet una2mia bila kujiunga na vifurushi maalumu vya blackberry yaaan ina2mika...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa wanafunzi haya mshindwe wenyewe bei sh laki 3 tu,napataikana kwa 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Niko Same (Kilimanjaro) natafuta line ya Tigo pesa (tu).. please aliye serious na anayo tufanye biashara (0686411308)
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bulb mpya,bei sh laki nne na nusu mawasiliano 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza gari Toyota verosa ya mwaka 2002, bei 11.5m ya silver, piga simu 0757004603 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nina laki tano cash naitaji laptop mpya yenye spec zozote as long as ni mpya
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WanaJF habari zenu,Mwenzenu nimepata Matatizo hivyo ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2.5 lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ujasiriamali imekuwa ni ndoto ya watu wengi hasa wanaapoona mafanikio ya baadhi ya wajasiriamali na wafanyabiashara. karibu katika blogu yangu ambapo inauelezea ujasiriamali kwa undani zaidi na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwenye kuniunganisha mi Nina gari dogo Lina uwezo WA kuchukua watoto Saba Kila kichwa 4,000/= kwa siku piga namba hii 0714064767
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Kwa mawasilano zaidi piga simu 0768808819 ama ni pm.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakodisha line ya uwakala ya m-pesa,nipo Ruaha/Kilombero-0763160126
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nahitaji gari ya kukodi kwa mzunguko wa kawaida mjini dar,,kama kuna mtu anayo let me know please.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Potjie COOKING COMPETITION 2013 WORLD FOOD DAY FARMERS MARKET AT GODEN TULIP HOTEL ON 19TH OCTOBER Shindano la kupika kwa kutumia chungu cha Potjie(Chungu kidogo cha kupikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba msaada wa kuelekezwa ofisi za wakala mkuu yeyote wa airtel money kwa hapa dar,nitashukuru
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samsung Galaxy S4 , model GT-I9500 version 4.2.2. Manufactured in May 2013, black in colour. With travel adaptor, stereo headset and data cable. Mwenye laki saba za kibongo ani pm fasta.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam zenu... Natafuta yard au open plot ya kupangisha au hata kununua maeneo karibu na Bandari Dar es salaam ,,,kurasini,,,shimo la udongo ,,chan'gombe ,,temeke n.k. YENYE uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…