Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,143
- 369
Nyumba kwenye picha iko Pwani, Manispaa ya Kibaha, Bokotimiza (kilomita 4 toka Tumbi Hospital ina vyumba 4, iko kwenye ekali 2, umeme uko karibu sana pamoja na maji ya kuvuta, Kuna miti ya matunda kama miembe korosho na pia miti ya vivuli imepandwa pale.Ina vyumba vinne vya kulala.Bei shilingi 120mil. 0755312233