Nahitaji gari ya kukodi dar,,isizidi 30,000/=

Nahitaji gari ya kukodi dar,,isizidi 30,000/=

Joined
Sep 29, 2013
Posts
7
Reaction score
0
nahitaji gari ya kukodi kwa mzunguko wa kawaida mjini dar,,kama kuna mtu anayo let me know please.
 
Ninayo pajero 4x4 2.5 diesel, unahitaji kwa siku ngapi?
 
kiongozi me nina center tani 3 itakufaaa kutembelea au la ntakupa scania kipisi 124 , zaidi tuwasiliane +255 585 31 23 26
Ha ha ha? I like JF

Thomas Real Estate!!
 
sema gari unayotaka me ninayo nissan hardbody call me on 0732 928530
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom