Nauza iphone 4s nyeusi ya 32gb, iko kwenye condition nzuri sana. Ni factory unlocked na imetumika kwa miezi mitatu, haina michubuko kabisa. Imekuwa upgraded to ios 7. Bei tsh 550,000. Kwa...
naitaji min laptop hdd iwe 80 na ram 2..iwe inakaa na chaji kwa mda mrefu ilo muhimu sana nipo arusha.mwezi wa 11 ndio naitaka kwaiyo dili hiyo. mwenye bei inayoridhisha ani pm.
Laptop Acer Aspire 4739z, inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa(imetumika miez 3).
specification zake: hard disk 500Gb, Ram 2Gb na processor ni 2.13GHz, Web cam, bei ni tsh 400,000(maelewano yapo)...
Habari Kaka/Dada zangu wa JF,
Mimi ni kijana wa kitanzania, mwenye umri wa miaka ishirini (20).
Nikijana mpenda maendeleo na kupenda kusaidia vijana na taifa zima kwa ujumla.
Namshukuru...
Tunauza simu kutoka japan kwa bei nzuri
1.galaxy s kwa 250,000/=
2.galaxy s2 kwa 350,000/=
3. Galaxy s3 kwa 470,000/=
ukitaka mpya pia tutakuuzia wasiliana nasi kwenye namba o788264684
kwa...
Very big house excellent location good neighborhood close 2 new bagamoyo road opp newly shamo shopping complex can accommodate 2 families n have offices on top or more bedrooms can park up to 10...
Tunatoa huduma ya kunatengeneza database system kwa ajili ya biashara kubwa na ndogo kwa bei NAFUU kabisa
Je kwa nini ni muhimu kwa biashara yako kuwa na database system.
Faida za kuwa na database...
Habarini wapendwa, leo nimekuja na hli, kuna nyumba mbili zinauzwa maeneo ya Temboni, Saranga Kilimahewa. Nyumba moja ína vyumba vya kulala vi3 na sebule kubwa, jiko nje na choo nje. Nyumba...
Stylus CX4300 All-in-One (Print, Scan, Copy) Color InkJet Printer, 5100dpi x 1400dpi, Black 25ppm, Color 13ppm, USB
The Epson Stylus CX4300 is ideal for the home and small office user...
Sqm 75000,located along Mkuranga-Kisarawe Road.It is suitable for industrial purpose,poultry farming,school/college and mango farming.Electricity is already in place.3km from kilwa mainroad and...
Je wewe ni mfanyabiashara wa nguzo za umeme?
Miti ya milingoti iliyotimia nguzo za umeme inauzwa.
Ipo Igeleke - Mufindi.
Gharama ni Tsh 30,000/= kwa mti mmoja.
Contact: 0687 022411