Nauza iphone 4s nyeusi ya 32gb, iko kwenye condition nzuri sana. Ni factory unlocked na imetumika kwa miezi mitatu, haina michubuko kabisa. Imekuwa upgraded to ios 7. Bei tsh 550,000. Kwa mawasiliano pm, au nichek at 0717301520
yes ni originaloriginal?
Kwa nini unaiuza mkuu?
Nauza iphone 4s nyeusi ya 32gb, iko kwenye condition nzuri sana. Ni factory unlocked na imetumika kwa miezi mitatu, haina michubuko kabisa. Imekuwa upgraded to ios 7. Bei tsh 550,000. Kwa mawasiliano pm, au nichek at 0717301520
mkuu Kula 300k fasta ka vipi ni PM
Haina maslahi mkuu
Nauza iphone 4s nyeusi ya 32gb, iko kwenye condition nzuri sana. Ni factory unlocked .......
Nauza iphone 4s mpya toka US haijatumika tsh 500,000. Pm for more info