Bajaji inauzwa

Bajaji inauzwa

mono92

Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Bajaji aina ya PIAGGIO inauzwa na bei yake ni poa na maelewano ipo katika hali nzuri kwa muhitaji nicheki kwenye

0716749125
 
Bajaj ni ya mwaka gan na umetumia kwa muda gani?gharama ikoje na je unampa mtu uhakika wa muda gani kua haitomsumbua?
 
ina two years ............bt ni imara kwasababu ni piaggio na siyo tvs...........bei makubaliano but 3m itaniridhisha ....kuhusu muda wa kusumbua inategemea na dereva ...kwasababu hivi ni vyombo vya moto but nauhakika itakulipa ndani ya muda mfupi
 
Bajaji aina ya PIAGGIO inauzwa na bei yake ni poa na maelewano ipo katika hali nzuri kwa muhitaji nicheki kwenye

0716749125

'chukua moja na nusu mkuu tena ni chap kwa haraka kiongozi...'
 
kwa bei hiyo hapana ........2.7 is the real price
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom