Habarini wapendwa, leo nimekuja na hli, kuna nyumba mbili zinauzwa maeneo ya Temboni, Saranga Kilimahewa. Nyumba moja ína vyumba vya kulala vi3 na sebule kubwa, jiko nje na choo nje. Nyumba nyingne ina masterbedroom na jiko ndani, vyumba vi3 na sebule kubwa. Nyumba zipo jiran zote, pia zimefanyiwa finishng na gypsum na tiles zote. Bei maelewano. Ukitaka nyumba moja unauziwa. Zina mwaka mmoja tangu zijengwe. Kwa muhtaj aniPM. Au no 0765738888. Karibu

