Haya haya kwa wapenzi wa Music, pata mali kwa bei inayoendana na quality: mzigo wireless, bluetooth ndani ni kwa tsh 200,000 tu. Used headfones, nimezinunua in two weeks, ila ninabadilisha ndio...
Wakuu heshima zenu. Mimi nahitaji gari kwa haraka. Liwe na 4 wheel drive,preferably SUV body,liwe limetembea chini ya kilometa 100000 na ndani pawe na mvuto sana. Sipendelei rangi zifuatazo...
Wadau kenta inauzwa ipo daresalaam ni ya tani 2 na nusu. Engine yake ni 33 na inabinua vizuri. Bei yake ni shilingi milioni 18.(18,000,000/=) kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii 0754 834839
Kiwanja kinauzwa kipo BUYUNI eneo linaloitwa SHERATON barabara iendayo CHANIKA karibu kabisa na OIL COM pia
na MONTESSORI. Kiwanja kina UREFU 32 na UPANA 17 miguu ya mtu mzima. Bei ni 4.5M...
yeah nauza HTC chacha imetumika mwezi mmoja tu(simu nzuri na adimu ni button na touch) kwa maelezo zaidi check gsmarena.com nauza kwa laki tatu(300,000) tu...pia nina techno Q1 kwa laki na...
kwa wale wote wenye shida na umeme......mimi ni fundi umeme wa majumbani na vifaa vyote vya umeme....naishi mabibo Dar es salaam.....nipigie kupitia 0713 190 118
Visit http://www.mnada.co.tz and bid or buy just about anything from Verified Sellers. GODFREYELECTRONICS and RICKAZ both Verified Sellers have listed a range of products as shown below for...
Nina habari njema kwa vyama vya siasa nina hazina kubwa. Ni mtu ambaye napenda sana kuimba lakini na kutunga na kwa sasa nimeamua kusoma music note niwe professional in Music. Nataka kuanzisha...
Wakubwa, Nategemea kulima acre 15 na zaidi za mahindi kwa kutumia mbegu mpya ya H600. Kwa matarajio yangu, nitavuna mnamo mwezi wa 6/7 mwakani (2014). Kwa mwenye mahitaji makubwa ya mahindi...
Habari wakuu na hasa wadada wanaojipenda
Nywele ni Indian remy toka India zinapatikana na ni real human hair kabisa yaani wanakata nywele zao na kuuza.
Nywele zinazopatikana ni
Weaving size zote...