Laptop na digtal camera kwa 500,000.

Laptop na digtal camera kwa 500,000.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,039
Reaction score
13,471
Tupia picha na specifications zake tufanye biashara,tunamalzana hapa hapa jamvini,hakuna cha pm wala no ya simu kwa sasa.serious sellers karibuni.
 
nnavyo vyote nna laptop samsung ram 2gb, hhd 320 ina miezi 2 ina prgrm za kutosha, DIGITAL CAMERA NI SAMSUNG MEGA PIXEL 16 INA WIKI MOJA MEMORY 4GB bt ongeza salio mpaka 550000 nicheki 0766988326 kama uko tayari.
 
picha??
 
mbona bei ndogo sana hii kupata kitu chenye quality..
Tupia picha na specifications zake tufanye biashara,tunamalzana hapa hapa jamvini,hakuna cha pm wala no ya simu kwa sasa.serious sellers karibuni.
 
nnavyo vyote nna laptop samsung ram 2gb, hhd 320 ina miezi 2 ina prgrm za kutosha, digital camera ni samsung mega pixel 16 ina wiki moja memory 4gb
hyo laptonga ni mpya au imetmika kwa muda gani? Mi npo songea.
 
Back
Top Bottom