Nina habari njema kwa vyama vya siasa nina hazina kubwa. Ni mtu ambaye napenda sana kuimba lakini na kutunga na kwa sasa nimeamua kusoma music note niwe professional in Music. Nataka kuanzisha bend ambayo nafikiria ingekuwa chini ya Jumihiya za vijana kwa chama ambacho kitahitaji tufanye hivyo ili uwe ni mchango wa jumuhiya husika kwa chama chake na kuleta hamasa. Kwa jumuhiya na Chama kitakachoona ni vema wan PM ili tutafute muda tuongee na kupanga hii project.
Kitaaluma mimi ni muhitimu wa shahada ya Uzamili na nimeajiriwa na kampuni flani
Kitaaluma mimi ni muhitimu wa shahada ya Uzamili na nimeajiriwa na kampuni flani