Natafuta mteja wa mahindi June/July 2014

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Wakubwa, Nategemea kulima acre 15 na zaidi za mahindi kwa kutumia mbegu mpya ya H600. Kwa matarajio yangu, nitavuna mnamo mwezi wa 6/7 mwakani (2014). Kwa mwenye mahitaji makubwa ya mahindi (shule, hotel, kambi, duka la jumla, etc) awasiliane nami. Ni-pm au piga 0769 608 996. Pengine utajiuliza kwa nini uwasiliane nami wakati mahindi ni mengi; jibu ni rahisi - kwa kuwa utakuwa umeweka booking mapema, nategemea kukuletea hadi mahali pako pa store hapa dar au pwani na pia utapata bei ya upendeleo (preferential price). Bei ya upendeleo ni kwa wale wanaohitaji tani moja na zaidi. Karibuni sana wanunuzi wa ukweli.
 
Me nipo tayari kuchukua mzigo wa kutosha,je kwa gunia utapenda kuuza kwa kiasi gani kwa wakati wa mavuno??Unaweza kunijibu PM...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
. Mm natafuta tenda kwenye makampun katika nyanja zifuatazo_
1.kulisha chakula
2. Kusambaza mahindi na dagaa hasa zile kampuni/mashamba ya kuku
3.tenda za usafi n.k
kama kuna m2 kampun yake au anajua kuna kampun ina tenda anijulishe jaman, kujiajiri kwenyewe ndo huko.
 
sasa si uanzishe thread yako mwenyewe tu kuliko kudandia?
 
Wakubwa, Nategemea kulima acre 15 na zaidi za mahindi kwa kutumia mbegu mpya ya H600. Kwa matarajio yangu, nitavuna mnamo mwezi wa 6/7 mwakani (2014). Kwa mwenye mahitaji makubwa ya mahindi (shule, hotel, kambi, duka la jumla, etc) awasiliane nami. Ni-pm au piga 0769 608 996. Pengine utajiuliza kwa nini uwasiliane nami wakati mahindi ni mengi; jibu ni rahisi - kwa kuwa utakuwa umeweka booking mapema, nategemea kukuletea hadi mahali pako pa store hapa dar au pwani na pia utapata bei ya upendeleo (preferential price). Bei ya upendeleo ni kwa wale wanaohitaji tani moja na zaidi. Karibuni sana wanunuzi wa ukweli.

Bei ya mahindi ya kuvunwa mwakani umeijuaje?

Huku kwetu mwaka jana serikali ilinunua Tshs 380.00 per kg, tukwauzia walanguzi kwa tshs 600 - 800 kwa kilo. mwaka huu serikali inanunua kwa tshs 500 kwa kilo sie tulianza kuuza tshs 430 per kg kwa walanguzi, na sasa twauza tshs 360 per kilo.

we hiyo mwakani uhashajua utatuuzia kwa bei gani? na ahiyo mbegu yako sio zile za Monsanto?
 
Back
Top Bottom