Nahitaji gari used ya kununua

Nahitaji gari used ya kununua

Mtokambali

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
222
Reaction score
99
Wakuu heshima zenu. Mimi nahitaji gari kwa haraka. Liwe na 4 wheel drive,preferably SUV body,liwe limetembea chini ya kilometa 100000 na ndani pawe na mvuto sana. Sipendelei rangi zifuatazo: Nyeupe,silver na kijani. Rangi zingine zote OK. Bajeti yangu ni 10M. Serious sellers niPM picha pleeease. Mwenye ushauri pia anakaribishwa hapa kwenye Wall.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hilo dili limenishinda ila nakushauri nenda show room kwa mashariti hayo na kwa bei hiyo unaweza kupata spacio 4wd!
 
...kama upo bongo nenda kidongo chekundu unapata gari kali kwa bei nzuri na chenji inabaki...kama vipi chapa pm nikupe namba za vijana wa kazi...
 
ndugu yangu unataka gari aina gani maana ujasema aina ya gari je unataka toyota spacio, toyota calina, verossa au lipi? na kwa bei hiyo sidhani ila nipm nikupeleke yadi yetu
 
...kama upo bongo nenda kidongo chekundu unapata gari kali kwa bei nzuri na chenji inabaki...kama vipi chapa pm nikupe namba za vijana wa kazi...
Gefu nirushie kwa pm wazee wa kazi
 
Last edited by a moderator:
...kama upo bongo nenda kidongo chekundu unapata gari kali kwa bei nzuri na chenji inabaki...kama vipi chapa pm nikupe namba za vijana wa kazi...

Kaka ni wapi huko tuelekezane
 
Wakuu heshima zenu. Mimi nahitaji gari kwa haraka. Liwe na 4 wheel drive,preferably SUV body,liwe limetembea chini ya kilometa 100000 na ndani pawe na mvuto sana. Sipendelei rangi zifuatazo: Nyeupe,silver na kijani. Rangi zingine zote OK. Bajeti yangu ni 10M. Serious sellers niPM picha pleeease. Mwenye ushauri pia anakaribishwa hapa kwenye Wall.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

kuna pajero jr, rangi maroon, km 87,000, 1100cc,
lipo bandarini tayari kwa ku-clear, bei 8milioni tu,price ni fixed.
ni-pm kwa maelezo zaidi.
 
Kaka ni wapi huko tuelekezane
...kama upo dar nenda hapo karibu n jengo la ushirika, kama unataka gari zuri,yaani kuuziwa bila magumashi tafuta kijana unaye mfahamu pale utapata gari nzuriii kabisa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom