Beautifull house design, reliable work

Beautifull house design, reliable work

davidnanguka

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
22
Reaction score
2
Nachora ramani za nyumba na majengo mbalimbali, napatikana akiba posta
kwa mawasiliano
0714 155854
1098274_574951562546679_235173941_n.jpg m1.jpg 5x.jpg 534976_576908299017672_158723553_n.jpg 1001396_574937119214790_803063367_n.jpg
 
Hizi umezichora wewe au umezipata humu mtandaoni?
Nalog off
 
kwa sababu ziko nyingi za namna hii mtandaoni.

Ni kweli Mkuu, lakini kkumbuka na hapa tuko mtandaoni pia, na yeye ni moja ya mamilioni ya architects duniani, tuwakubali vijana jamani, kama unahtaji kweli unamtembelea ofisini kwake, au unamwambia akutumie profile. Mimi nilijua mkuu Washawasha ameona hiyo michoro extact sehemu, hiyo kweli ingekuwa uzembe na udanganyifu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini hauamini kama amezichora yeye?
sio kwamba siamini ila huwa naziona zinazagaazagaa nikajua labda na yeye kaziona huko ila kama yeye ndiye mchoraji basi sina budi kumpa hongera.
 
Ni kweli Mkuu, lakini kkumbuka na hapa tuko mtandaoni pia, na yeye ni moja ya mamilioni ya architects duniani, tuwakubali vijana jamani, kama unahtaji kweli unamtembelea ofisini kwake, au unamwambia akutumie profile. Mimi nilijua mkuu Washawasha ameona hiyo michoro extact sehemu, hiyo kweli ingekuwa uzembe na udanganyifu.
Sikumbuki ni website gani ila hiyo picha ya nyumba ya tatu hapo juu niliwahi kuiona na ndio maana nikauliza swali lile.Ila kama yeye ndiye mchoraji basi nampa hongera yake anayostaili.Si unajua nami naweza nikazipenda hizi picha na kuziweka sehemu ambayo naiona mimi inafaa.
 
Gharama zikoje kwa nyumba za mimi wa kipato kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom