Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

WanaJF habari zenu, Mwenzenu nimepata Matatizo hivyo ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2.5 lililoko Kigamboni eneo la Buyuni. Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
BADO HAIJASAJILIWA, CC 125, BEI 700,000/= TSHS. Contact 0754 889999/ 0776 000084
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu mwenye iphone 3gs anipm
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Mwenye kujua hiyo kitu hapo juu,nataka kufanya hiyo kazi ya ku-flash simu,inataka mtaji sh ngapi na vifaa vya gani,nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari waheshimiwa Ninauza cpu za desktop sifa zake ni PROCESSOR 2.8 GHZ,RAM 256mb,hard disk 40gb,zipo katika hali nzuri,bei 119,000/=nipo dar,simu 0767327429
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mashine ya kuangushia na kuchania magogo ipo inauzwa aina ya mashine ni husqvarna 279 chainsaw kwa mawasiliano 0714-414020 0719-819227
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ninauza laptop yenye sifa zifwatazo, Dell latitude d620, 2.2ghz dual core processor, 2gb RAM, 80GB Hardisk. Bei 320k, laki 3 na 20 Contacts, 0786 305664
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari waheshimiwa Ninauza cpu za desktop sifa zake ni PROCESSOR 2.8 GHZ,RAM 256mb,hard disk 40gb,zipo katika hali nzuri,bei 119,000/=
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Ipo good condition.with back cover.na memmory card ya 2gb.kwa mawasiliano piga namba 0777429990
0 Reactions
1 Replies
995 Views
PLYSTATION 2 FOR SALE , 10 GAMES ,2 CONTROLLERS ,MOJA INA TATIZO KIDOGO bei TSH 180000 UNAWEZA UKAONGEZEWA GAMES .simu 0712652110 0R MAKE ME AN OFFER
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafuta seond-hand Guitar(Acoustic) ninunue.....Bei iwe nzuri na liwe bado zima.
1 Reactions
0 Replies
769 Views
HABARI ZENU WADAU.. Nyumba imara inauzwa ipo eneo la Mbagala Charambe, Ina vyumba vitatu, choo cha ndani ki1 na bafu 1, master ina store ndogo na choo chake, ina jiko la ndani na store store...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni pressure washer, mashine ambayo inavuta maji kutoka mahali Fulani na kuya compress kwa pressure unaoyotaka kulingana na matumizi yako. Inatumia petrol, ina mshikio (handle) yenye urefu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu Habari, Kwa wale ambao wanataka kutangaza mitandaoni kwenye website yenye traffic ya hits 50000 per day plus Facebook page yenye likes 100,000 Kwa kutangaza Bidhaa zako niPM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huawei mediapad 10 link
0 Reactions
3 Replies
981 Views
samahani wana JF simu gani Android nzuri kwa price ya 200,000- 300,000. Good Ram, large Internal memory quality Camera, Good in Browsing with 3G. Touch screen,, any one with idea and the...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habarini nauza kuku wa kisasa Broiler kwa jumla ni tshs 4500/- mpaka 4800/= kwa kuku 100 na ni kwa rejareja ni 5500= kwa kuku umtakaye kwa anayehitaji aniPM nami nitawasiliana naye niko dar...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
New; @1.7M no negotiations. Contact me on 0712868178 2) Exchange New but used galaxyS4 + toping up with any one with IPhone 5s (space gray)
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Moderm mpya aina ya Smile inauzwa kwa 120,000 kwa mawasiliano tafadhari wasiliana nami kwa simu namba 0716316081.. tupo mabibo..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…