msaada wa vifaa vizuri vya ku-flash simu

msaada wa vifaa vizuri vya ku-flash simu

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Mwenye kujua hiyo kitu hapo juu,nataka kufanya hiyo kazi ya ku-flash simu,inataka mtaji sh ngapi na vifaa vya gani,nawasilisha
 
ndio ni siri ya kazi yetu huyo nimeona anajua kidogo ndio maana nikaona nimsaidie...ngosha nipigie kwenye num 0774 439364
 
Back
Top Bottom