PLYSTATION 2 FOR SALE , 10 GAMES ,2 CONTROLLERS ,MOJA INA TATIZO KIDOGO bei TSH 180000 UNAWEZA UKAONGEZEWA GAMES .simu 0712652110 0R MAKE ME AN OFFER
Daka 130k
Ongeza 20000
mimi nahitaji hizo games zake una zp ninunue, utauzaje game na ma cd yote hayo si utapata hasara atleast hata cd za games uuze kwa buku3 @, unazo games zipi mimi nahitaji
Games nzuri zipi? god of war 3 unayo pia ? na hiyo cable ya i sing inafanya kazi gani?sorry , nauza vitu vyote kwa pamoja .games ni nzuri sana sio za kubabaisha pia ipo cable ya i sing for ps2
Ukiwa intrested na hiyo bei ni pm.!
130k au cyo?
me nauza playstation 2, controller 2 na MMC ambayo ina program kwa ajili ya kucheza game via flash disk, lens haina tatizo kama utapenda kutumia CD. Ukiwa na 8 GB flash disk nitakuwekea god hand, tekken 6 na gta bure.
bei 180,000/=