Nyumba self contained inauzwa mbagala charambe

Nyumba self contained inauzwa mbagala charambe

LUTAMBI

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
233
Reaction score
103
HABARI ZENU WADAU..
Nyumba imara inauzwa ipo eneo la Mbagala Charambe, Ina vyumba vitatu, choo cha ndani ki1 na bafu 1, master ina store ndogo na choo chake, ina jiko la ndani na store store kubwa, ina sebure kubwa (futi 23 X14), full tiles, full gypsum, ina chuping imara, ina vibaraza mbele na nyuma, ilimwagwa zege kabla ya kuanza tofali za msingi, maji yapo karibu yanapatikana mda wote, ina umeme wa luku, shimo la choo lina urefu wa futi 12. Bei Milioni 45, tuwasiliane 0715719171 mimi sio dalali. Karibuni
 

Attachments

  • Photo0148.jpg
    Photo0148.jpg
    39.7 KB · Views: 177
Sababu za kuuzwa nazo zina mashiko kama tukifanikiwa kuzijua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
imetulia bro,vipi inauzwa pamoja na hayo makochi,makabati n.k???,yaani nikihamia nahamia na begi langu na mkoko tu mkuu??
 
Bei nzuri kiwanja ni size gani? Hakuna mgogoro kweli? Au bara bara ya tanrod inakatiza hapo?
 
Hodi wadau. Nyumba bado ipo na inauzwa. Karibun nyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom