Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
Viwanja vinauzwa eneo la Mbande Tambani - Kongowe Dar es Salaam. Vina ukubwa wa futi 50 x 70, viko viwanja sita (6) ambavyo unaweza kununua kimoja kimoja kadiri ya mahitaji yako. Bei ni shilingi...
Habari zenu marafiki
Natafuta tender za kutengeneza Kadi za Harusi kama vile: Mwalikko kadi, sendoff kadi, kitchen party, kipaimara
kumunio, kadi za Seasonal na pia natengeneza keki kwa shughuli...
Habari za Leo Wakuu, kutokana na kukwama kwa mambo yangu mengi nimeamua kuuza bidhaa tajwa hapo juu, nna miliki Laptop na Desk Top Computers, Sifa zake ni hizi:-
1. Lap Top
Model - Acer Aspire...
Nauza Fargo DTC520 Color Double Sided Plastic ID Card Thermal Laminating Printers. Made in USA.
Kwa detailed specifications tafadhali soma hapa:
Fargo DTC 525-LC Specs (printer - color - dye...
Nyumba ya kwanza:
• Vyumba 3 kimoja kati ya hivyo ni Master
• Seating room 1
• Jiko 1
• Store 1
• Umeme
• Maji
• Parking 1
•...
Habari wadau,
Ninahitaji mecury nyeupe kwa ajili ya wachimbaji wa dhahabu.. Kama unayo ni-PM pamoja na bei yako..! kuna soko la uhakika.......
Karibuni.
kiwanja kinauzwa kipo mbande mita chache kutoka
azam complex, kipo sehemu nzuri,huduma zote
muhimu zipo kama maji,umeme, kina ukubwa wa
futi 50 kwa 50 kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri
kwa...
Viatu na handbags vimewasili leo, vinapatikana ladies choise hair salon iliyopo sinza mori, kwa maelezo zaidi wasiliana nami 0657690970, handbag ni sh 60000 na viatu ni sh 70000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.