nauza cpu za desktop dell

nauza cpu za desktop dell

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Habari waheshimiwa
Ninauza cpu za desktop sifa zake ni PROCESSOR 2.8 GHZ,RAM 256mb,hard disk 40gb,zipo katika hali nzuri,bei 119,000/=nipo dar,simu 0767327429
 
Habari waheshimiwa
Ninauza cpu za desktop sifa zake ni PROCESSOR 2.8 GHZ,RAM 256mb,hard disk 40gb,zipo katika hali nzuri,bei 119,000/=nipo dar,simu 0767327429

Duh! ram ni 256, ni aina gani ya ram? Maana ddr1na ddr2 kuzi upgrade ni kasheshe maama zinapatikana kwa shida.
 
ram zinapatikana kirahisi tu,sijui ni aina gani lakini zina meno mawili,nilishaenda kuulizia kariakoo nikaziona kwa urahisi kabisa
 
Habari waheshimiwa
Ninauza cpu za desktop sifa zake ni PROCESSOR 2.8 GHZ,RAM 256mb,hard disk 40gb,zipo katika hali nzuri,bei 119,000/=nipo dar,simu 0767327429

cm yangu yenyewe ram 1 GB hiyo computer yako ram 258 Tu ha!!!
 
Tofautisha simu yako na kompyuta,kompyuta hizi waweza kuongeza ram unavyopenda,ina slot nne za kuweka vipande vya ram,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom