Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

UNIVERSAL 3G MODEM Universal USB 3G MODEM Micro SD Card (Max 16gb) Phone Book\ Voice Calling Speed: 7.2mbps Supports: Windows, Mac, Linux & Android
0 Reactions
5 Replies
952 Views
Tafadhali naomba mnisaidie wana jf.Natafuta kazi/kibarua au kazi yoyote naweza fanya.nina ujuzi wa computer na elimu yangu imeishia advance certificate.mimi ni muaminifu na mchapa kazi.sichagui...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Imetumika kama wiki2 tu mpaka box unapata Ina screen protector na back cover Kamera mbili nyuma na mbele+ledflash right na fm radio Skype,watsapp,instergram,fbook,jamii forum,tweeter,yahoo,gmail...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajf kwa wale watumiaji wa Samsung Galax S 2 Kuna bank charger zinauzwa from dubai ambapo ukitiumia hiyo bank charger itasaidia kurecharge betry yako soon inapoisha charge ,,,bank charger ipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo Kigamboni, pesa hiyo nimejumuisha na usafirishaji mpaka hapa nilipo, friji liwe dogo kabisa na used(sio used bovu). Nikiridhika nalo nakulipa pesa cash huwa sina ubabaishaji. Kama unalo njoo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja kipo vikindu,njia ya kwenda chuo cha ualimu,ni tambarare na gari inafika hadi kiwanjani Bei milioni3,maongezi yapo.dalali hatakiwi kama ni muhitaji ni PM nikupe namba yangu nitakupeleka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini, jamani najua kwenye jukwaa kuna watu wenye fani mbali mbali humu ndani. Mimi nina wazo la kufungua Duka la Dawa mkoani Singida. Nahitaji anaye fahamu utaratibu WA kufungua duka...
0 Reactions
1 Replies
772 Views
habar wana jamii. nauza kiwanja changu kipo mikwambe dar es salaam.mikwambe ipo bara bara ya kigambon kongowe. Kiwanja kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri na wenye bara bara za mtaa. Huduma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Notes board 60x90 price 55000 contact 0759149202
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Kiwanja kipo vikindu,njia ya kwenda chuo cha ualimu,ni tambarare na gari inafika hadi kiwanjani Bei milioni3,maongezi yapo.dalali hatakiwi kama ni muhitaji ni PM nikupe namba yangu nitakupeleka...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
habar wana jamii. nauza kiwanja changu kipo mikwambe dar es salaam.mikwambe ipo bara bara ya kigambon kongowe. Kiwanja kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri na wenye bara bara za mtaa. Huduma zote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nauza brackbery 9320 used bei 250000 tshs, iko poa kbs, kwa mwasiliano nichek 0713802008
0 Reactions
1 Replies
885 Views
KAMERA CANON SX 30 is inauzwa Tshs 700,000 Ipo Mbeya kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kupitia ku-pm
0 Reactions
9 Replies
2K Views
X peria arc S nina 250000/= mwenye nayo ni PM. Kwa DSM!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJF habari zenu, Mwenzenu nimepata Matatizo hivyo ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2.5 lililoko Kigamboni eneo la Buyuni. Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
BADO HAIJASAJILIWA, CC 125, BEI 700,000/= TSHS. Contact 0754 889999/ 0776 000084
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu mwenye iphone 3gs anipm
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Mwenye kujua hiyo kitu hapo juu,nataka kufanya hiyo kazi ya ku-flash simu,inataka mtaji sh ngapi na vifaa vya gani,nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari waheshimiwa Ninauza cpu za desktop sifa zake ni PROCESSOR 2.8 GHZ,RAM 256mb,hard disk 40gb,zipo katika hali nzuri,bei 119,000/=nipo dar,simu 0767327429
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mashine ya kuangushia na kuchania magogo ipo inauzwa aina ya mashine ni husqvarna 279 chainsaw kwa mawasiliano 0714-414020 0719-819227
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…