Kiwanja kinauzwa mikwambe jijin dar es salaam

Kiwanja kinauzwa mikwambe jijin dar es salaam

kamrume

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
35
Reaction score
24
habar wana jamii. nauza kiwanja changu kipo
mikwambe dar es salaam.mikwambe ipo bara bara
ya kigambon kongowe. Kiwanja kipo kwenye mtaa
uliojengeka vizuri na wenye bara bara za mtaa.
Huduma zote zipo karibu,maji umeme na miundo
mbinu mizuri sio mbali kutoka bara bara kubwa ni mwendo wa dk 2. Kiwanja kina ukubwa wa urefu
futi 28 na mapana 28. Bei ni milion nne na nusu
ila maongezi yapo.
Wasiliana nami: 0656251874
 
Sawa subiri wakati wa masika tuone mafuriko
 
Back
Top Bottom