habar wana jamii. nauza kiwanja changu kipo mikwambe dar es salaam.mikwambe ipo bara bara ya kigambon kongowe. Kiwanja kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri na wenye bara bara za mtaa. Huduma zote zipo karibu,maji umeme na miundo mbinu mizuri sio mbali kutoka bara bara kubwa ni mwendo wa dk 2. Kiwanja kina ukubwa wa urefu miguu 28 na mapana 28. Bei ni milion nne na nusu ila maongezi yapo.
Wasiliana nami: 0656251874
Wasiliana nami: 0656251874