Mkazuzu
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 449
- 559
Kiwanja kipo vikindu,njia ya kwenda chuo cha ualimu,ni tambarare na gari inafika hadi kiwanjani
Bei milioni3,maongezi yapo.dalali hatakiwi kama ni muhitaji ni PM nikupe namba yangu nitakupeleka mwenyewe hadi kwenye kiwanja.
Kingine ni cha rafiki yangu kipo vikindu kisemvule,ni kiwanja cha pili kutoka barabara kuu ya kusini.kwa anayehitaji PM nimuunganishe na mmiliki